Description
Kongamano la Mahayawani na Hadithi Nyingine, ni mkusanyiko wa hadithi ambao wahusika wake wengi ni wanyama au mahayawani. Huu ndio upekee wa kitabu hiki kikilinganishwa na vitabu vingi vya hadithi vilivyomo katika soko la usomaji ambavyo vimewapatia wahusika wa kibinadamu kipaumbele. Wasomaji watakapokuwa wakikisoma kitabu hiki watapata kutagusana na wahusika ambao ni wanyama. Kwa hilo, ni bayana kuwa watavutiwa na kuchochewa hadi watamani kukisoma kitabu hiki mara kwa mara.
Reviews
There are no reviews yet.