Kongamano La Mahayawani Na Hadithi Nyingine

KSh 500.00

Kongamano la Mahayawani na Hadithi Nyingine

SKU: 21577 Category:

Description

Kongamano la Mahayawani na Hadithi Nyingine, ni mkusanyiko wa hadithi ambao wahusika wake wengi ni wanyama au mahayawani. Huu ndio upekee wa kitabu hiki kikilinganishwa na vitabu vingi vya hadithi vilivyomo katika soko la usomaji ambavyo vimewapatia wahusika wa kibinadamu kipaumbele. Wasomaji watakapokuwa wakikisoma kitabu hiki watapata kutagusana na wahusika ambao ni wanyama. Kwa hilo, ni bayana kuwa watavutiwa na kuchochewa hadi watamani kukisoma kitabu hiki mara kwa mara.

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Kongamano La Mahayawani Na Hadithi Nyingine”

Your email address will not be published. Required fields are marked *