Ziara Ya Kutisha na Hadithi Nyingine

KSh 480.00

Ziara Ya Kutisha na Hadithi Nyingine

SKU: 21506 Category:

Description

Je, Umewahi kumzuru jamaa yako yeyote lakini ukapanda gari la umma silo? Mwandishi wa hadithi ya Ziara ya Kutisha anasimulia jinsi alivyotatizwa na kuchanganyikiwa wapi alopokwenda. Je, atamwamini  nani amwelekeze njia? Soma hadithi hii, na nyingine za kusisimua, ugundue masaibu ya mwandishi na namna alivyoweza kuyakabili.

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Ziara Ya Kutisha na Hadithi Nyingine”

Your email address will not be published. Required fields are marked *