Vituko vya Meja na Hadithi Nyingine 3b

KSh 450.00

Vituko vya Meja na Hadithi Nyingine 3b

SKU: 22304 Category:

Description

Leshan na Aida wanajipata mashakani baada ya kusingiziwa kulichafua darasa lao.

Je, nani aliyelichafua darasa la wanafunzi wa gredi ya tatu na kuvuruga amani? Nani ndiye mshindi katika mchezo wa taka unoongozwa na Aida?

Soma ufahamu jinsi Aida na Leshan wanavyokumbana na changamoto wanapoachiwa Joni wamtunze.

Vituko vya Meja na hadithi nyingine ni mkusanyiko wa hadithi za kusisismua zilizoandikwa kwa ustadi mkubwa na zinalenga kukuza maadili ya amani, umoja na uwajibikaji miongoni mwa wasomaji.

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Vituko vya Meja na Hadithi Nyingine 3b”

Your email address will not be published. Required fields are marked *