Vipawa Vya Hasina

KSh 450.00

ipawa vya Hasina’ ni kitabu kinacholenga wanafunzi wa Darasa la Nane katika shule za msingi ili kuendeleza na kukuza uwezo wao wa kusoma. Miongoni mwa sifa za kipekee za kitabu hiki ni:

  • Masimulizi rahisi kwa njia ya hadithi, usimulizi kwa nafsi ya kwanza umoja, mbinu rejeshi na uzungumzi nafsia.
  • Kuingiza ucheshi katika maandishi kupitia masimulizi, dayolojia, misemo, methali, taharuki, tashibihi, tashihisi, takriri, kejeli, chuku, taswira, tanakali za sauti na picha za rangi zenye kusisimua.
  • Kuwapitisha na kuwalea wanafunzi katika mazingira ya maisna ya nyumbani, shuleni, kijijini na jijini, malezi, mila ya ndoa za wasichana wadogo, afya, ujana na matatizo yake, umuhimu wa teknolojia, habari na mawasiliano, michezo, uwajibikaji, stadi za maisha, kazi, utu, uvumilivu, uadilifu, jinsia, haki za binadamu, haki za watoto, kuishi kwa utangamano na amani.
SKU: 26616 Category:

Description

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Vipawa Vya Hasina”

Your email address will not be published. Required fields are marked *