Usicheze Na Moto 4b By Oxford

KSh 261.00

Usicheze Na Moto 4b By Oxford

SKU: 19437 Category:

Description


Usicheze na moto! 4b ni kitabu kinachonuiwa kuendeleza msingi wa kusoma na kukuza uwezo jjjp kusoma wa wanafunzi wa Darasa la Nne katika shule za msingi.Miongoni mwa sifa za kipekee za kitabu hiki fii:

  • Masimulizi rahisi ya hadithi.
  • Kuondosha hali ya uchovu wa kusoma kwa kuingiza ucheshi katika maandishi kupitia mjadala, nyimbo, taharuki na sentensi fupifupi.
  • Kuwapitisha na kuwalea wanafunzi katika mazingira ya michezo ya kitoto, ushirikiano na ujirani mwema, kichekesho, sifa na hulka za watu tofauti na maarifa juu ya kukabiliana na hatari ya moto.

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Usicheze Na Moto 4b By Oxford”

Your email address will not be published. Required fields are marked *