Urafiki Wa Chanda na Pete

KSh 200.00

Available on backorder

SKU: 27105 Category:

Description

Urafiki wa Chanda na Pete ni hadithi inayopatikana katika mfululizo mpya wa hadithi za kiswahili za nasaha zetu zinazochapishwa na KLB.

Hadithi hii ni ya wanafunzi wa darasa la pili. Marafiki wema hushirikiana kutenda mema, pia hufunzana tabia njema.

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Urafiki Wa Chanda na Pete”

Your email address will not be published. Required fields are marked *