Ufalme Wa Mende

KSh 290.00

SKU: 27906 Category:

Description

Ufalme wa Mende ni hadithi ya kusisimua inayolenga kutoa tahadhari dhidi ya kutozingatia usafi. Mzee Tabu na mwanawe anayeitwa Mchafu, wanaathirika sana na mende hali inayoletwa na kutopenda usafi. Nyumba ya Mzee Tabu imekuwa miliki ya mende. Imetawaliwa na mende. Ufalme wa mende. Mende hawa wanaleta maangamizi makubwa ya kuatua moyo. Kunatokea nini?

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Ufalme Wa Mende”

Your email address will not be published. Required fields are marked *