Description
Kulanga alizaliwa katika maingira magumu yasiyosikika wala kutajika.
Hali hii haikulua ndoto yake ya kufanikiwa Tabia njema na bidii yake zilimfanya aheshimike na walimu pamoja na wenzake shuleni
Wavyele wake walipoipa dunia kisogo, ilionekana kana kwamba hataweza kufikia ile ndoto ya ajabu aliyokuwa nayo.
Mfadhili wake anauawa kwa sumu na kisha mke wa mfadhili kukatisha ufadhille kijana huyu atafanyaje i kufanikiwa maishani na kuifikia ndoto yake?
Reviews
There are no reviews yet.