Description
Hii ni hadithi kwa watoto wenye umri wa miaka 7-8 (Gredi 3). Ni kitabu kinachowasaidia watoto kujifunza uaminifu Mada: Unaruka kile unachopanda
Ili kuteuwa kiongozi mpya, Simba mzee anawapa Kiboko, Kifaru na Ndovu mtihani tata. Kila mmoja anataka kuwa mshindi na kuteuliwa kiongozi wa jangwani. Nani atashinda?
Reviews
There are no reviews yet.