Spotlight Kurunzi ya Kiswahili Gredi 1 Toleo Jipya

KSh 696.00

Toleo hili Jipya la Kurunzi ya Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 1 limeandaliwa kwa upekee zaidi ili kumwezesha mwanafunzi kumudu na kujifunza stadi nne za mtaala mpya wa Kiswahili, zikiwemo: Kusikiliza na Kuzungumza, Kusoma, Kuandika na Sarufi.

Kitabu hiki kimejumuisha vipengele vipya vya kuandika na kusoma ambavyo havikuwepo awali. Mbali na kuzingatia mtaala mpya wa Kiswahili uliofanyiwa marekebisho, 2022, kimeandikwa kwa njia sahili na yenye mvuto.

SKU: 20476 Category:

Description

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Spotlight Kurunzi ya Kiswahili Gredi 1 Toleo Jipya”

Your email address will not be published. Required fields are marked *