Simu ya Musa na Hadithi Nyingine 3c

KSh 500.00

Musa anafurahi baada ya kupewa zawadi ya simu na wazazi wake. Atawajibika katika kazi zake ama simu itamtia mashakani? Je, wazazi wake watamchukulia Musa hatua gani akishindwa kuitumia simu yake vyema? Vitu vinapopotea darasani, kimoja baada ya kingine, wanafunzi wanashikwa na wasiwasi wasijue wamlaumu nani. Soma ufahamu jinsi marafiki wa Musa wanavyoshirikiana kutatua mzozo unaowakumba darasani ili kurejesha amani.

Simu ya Musa na Hadithi Nyingine ni mkusanyiko wa hadithi za kusisimua zilizoandikwa kwa ustadi mkubwa na zinazolenga kukuza maadili ya uwajibikaji, umoja na amani miongoni mwa wasomaji.

SKU: 22847 Category:

Description

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Simu ya Musa na Hadithi Nyingine 3c”

Your email address will not be published. Required fields are marked *