Simba Mwanadamu Na Hadithi Nyingine

KSh 320.00

SKU: 27899 Category:

Description

Simba Mwanadamu ni_hadithi ya kumsisimua, kumchekesha na kumburudisha msomaji. Ni hadithi inayodhihirisha ukweli wa methali kuwa njia ya mwongo ni fupi. Aidha, hadithi hii inatoa funzo kwa msomaji kuwa hila zina mwisho wake ambao si mzuri. Hadithi hii ni mojawapo ya hadithi katika mkusanyiko wa hadithi zenye uwezo wa kumgandisha msomaji kwenye kiti akisoma tena na tena.

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Simba Mwanadamu Na Hadithi Nyingine”

Your email address will not be published. Required fields are marked *