Siku Maridadi

KSh 400.00

SKU: 27099 Category:

Description

Hii ni hadithi kwa watoto wenye umri wa miaka 6-7 (Gredi 1&2). Ni kitabu cha hali ya hewa na mazingira kinachosaidia watoto kujifunza hali ya hali ya hewa.

Je! Wanapata nini katika ulimwengu wao? Hadithi hii hutumia maneno rahisi kusaidia watoto

kujifunza siku za wiki na aina za hali ya hewa.

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Siku Maridadi”

Your email address will not be published. Required fields are marked *