Safari ya Matarajio na Hadithi Nyingine

KSh 551.00

Diwani ya Safari ya Matarajio ni mkusanyiko wa hadithi zinazoshughulikia masuala ya kijamii yenye changamoto nyingi. Hadithi hizi zinagusia matatizo ya matezi na athari zake kutokana na wazazi kupuuza majukumu yao, misukosuko ya maisha inayozuia ndoto za vijana, na juhudi zao za kujinasua kutoka kwenye changamoto hizo. Pia inangazia mchango wa vyombo vya dola na mashirika ya kujitolea katika kusaidia jamii, pamoja na namna maumbile na jinsia zinavyotumika kama visingizio vya maonevu na vikwazo vya maendeleo. Diwani hii inaelezea wahusika katika hali zao ngumu, ikionesha juhudi zao za kujikwamua na kujiendeleza licha ya changamoto zinazowakumba.

SKU: 26075 Category:

Description

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Safari ya Matarajio na Hadithi Nyingine”

Your email address will not be published. Required fields are marked *