Description
Shughuli za kibinafsi zinazolenga kumfanya mwanafunzi kujiamini, kukuza ubunifu na utatuzi wa matatizo.
-Shughuli za kikundi kadhaa zinazokusudiwa kujenga uwezo wa mawasiliano na ushirikiano.
-Masuala mtambuko na dhana ya uraia mwema ni mambo ambayo yameshughulikiwa kwa kina.
Reviews
There are no reviews yet.