Mentor Kielekezi Cha Kiswahili Gredi 1 Kitabu Cha Mwanafunzi

KSh 731.00

Mentor Kielekezi cha Shughuli Gredi 1

SKU: 19713 Category:

Description

KIELEKEZI cha Shughuli za Kiswahili Gredi 1 kimewasilisha kikamilifu mahitaji ya mtaala mpyaunaozingatia umilisi.

Kitabu hiki kimetumia mtindo unaomwegemea mwanafunzi zaidi.

Kimetumia lugha nyepesi iliyokomaa na inayoweza kueleweka na mwanafunzi kwa urahisi.

Kimeangazia stadi zote za kujifunza lugha:

(i) Kusikiliza na Kuzungumza

(ii) Kusoma

(iii) Kuandika

(iv) Msamiati

(v) Sarufi

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Mentor Kielekezi Cha Kiswahili Gredi 1 Kitabu Cha Mwanafunzi”

Your email address will not be published. Required fields are marked *