Mentor Kielekezi cha Kiswahili Grade 4

KSh 760.00

Mentor Kielekezi cha Kiswahili Grade 4 (Approved)

SKU: 19966 Category:

Description

KIELEKEZI cha Kiswahili Gredi ya 4 kimewasilisha kikamilifu mahitaji ya mtaala mpya unaozingatia umilisi.

Kitabu hiki kimetumia mtindo unaomwegemea mwanafunzi zaidi.

Kimetumia lugha nyepesi iliyokomaa na inayoweza kueleweka na mwanafunzi kwa urahisi.
Kimeangazia stadi zote za kujifunza lugha:

(i) Kusikiliza na Kuzungumza

(ii) Kusoma

(iii) Kuandika

(iv) Sarufi

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Mentor Kielekezi cha Kiswahili Grade 4”

Your email address will not be published. Required fields are marked *