Kitoweo Cha Mama Na Hadithi Nyingine By Storymoja

KSh 480.00

Kitoweo cha mama na hadithi nyingine

SKU: 20289 Category:

Description

Kitoweo cha mama na hadithi nyingine ni mkusanyiko wa hadithi kadhaa za kusisimua na za kipekee. Hadithi hizi zinaangazia hali halisi za maisha ya wanadamu kupitia wahusika wanayama. Zimejikita kwenye maudhui kama vile kusema ukweli, utiifu,kuwajali wengine, usaliti, subira na uvumilivu. Kutokana na hadithi hizi, wasomaji walengwa watachochewa kuwa na fikra za kipekuzi na za kibunifu ili waweze kudadisi mambo na kutafuta suluhu za changamoto mbalimbali zinazoweza kuwakumba maishani.

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Kitoweo Cha Mama Na Hadithi Nyingine By Storymoja”

Your email address will not be published. Required fields are marked *