Description
Hili ni toleo la nne la Kiswahili kwa Kidato cha Tatu, Kitabu cha Wanafunzi. Ni kitabu cha tatu katika mfululizo wa vitabu vinne vya Kiswahili kwa shule za upili.
Kitabu hiki kimeundwa kulingana na mfumo wa elimu wa 8-4-4 na kimefanyiwa marekebisho kwa kufuata silabasi mpya ya Kiswahili ya Kidato cha Tatu.
Reviews
There are no reviews yet.