Kiswahili Fasaha Kidato cha 2 by oxford

KSh 957.00

Kiswahili Fasaha ni kitabu kinachoakisi mtazamo teule wa kujifunza lugha ya Kiswahili kulingana na mahitaji ya wanafunzi wa shule za sekondari na kuwiana na silabasi mpya. Kitabu hiki kinajenga na kuimarisha msingi thabiti wa stadi zote za lugha ya Kiswahiti, matumizi ya lugha, fasihi, ufasaha wa lugha na utunzi ili kumtayarisha mwanafunzi kimapana na kikamilifu awe mwanafunzi fasaha na mweledi. Kiswahili Fasaha, Kidato cha Pili, ni cha pili katika mfululizo wa vitabu vinne. Kitabu hiki kinaambatana na Mwongozo wa Mwalimu.

SKU: 21967 Category:

Description

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Kiswahili Fasaha Kidato cha 2 by oxford”

Your email address will not be published. Required fields are marked *