Kamusi ya Kiswahili Sanifu Tuki 4th Edition

KSh 1,185.00

Kamusi ya Kiswahili Sanifu Tuki 4th Edition

SKU: 13256 Categories: ,

Description

Kamusi ya Kiswahili Sanifu ina historia ndefu. Toleo la kwanza lilichapishwa mwaka 1981. Toleo hili la Nne limeboreshwa na kupangwa upya ili kumwezesha mtumiaji kupata taarifa anayoitafuta kwa urahisi. Toleo hili lina:
• zaidi ya vidahizo vipya 1 000
• kurasa 48 za rangi zenye mada mbalimbali
• zaidi ya methali 500 zilizotolewa maana
• nahau na misemo iliyotolewa maana

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Kamusi ya Kiswahili Sanifu Tuki 4th Edition”

Your email address will not be published. Required fields are marked *