Description
Hii ni hadithi kwa watoto wenye umri wa miaka 6-7 (Gredi 1&2). Ni kitabu kinachofundisha watoto kuwa maamuzi yana matokeo ya muda mrefu
Tumbiri na Binadamu ni ndugu wa damu moja.Wanapika na kula pamoja. Hata hivyo,Tumbiri hatosheki kila mara anapokula. Je, ana mpango gani?
Reviews
There are no reviews yet.