Distinction Kipeo cha Kiswahili Grade 6

KSh 780.00

Distinction Kipeo cha Kiswahili Grade 6

SKU: 21901 Category:

Description

Kipeo Cha Kiswahili Gredi ya 6 kimeandikwa kwa ajili ya mwanafunzi wa lugha ya kiswahili katika shule ya msingi daraja la juu ili kujenga stadi na umahiri ufaao wa kuwasiliana,kutangamana na kushiriki katika miktadha mbalimbali ya kitaifa,kikanda na kimataifa kwa kutumia lugha kuzungumza na kuandika.Hai hii inatokana na mabadiliko katika mfumo wa elimu 8-4-4 hadi wa umilisi nchini kenya.

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Distinction Kipeo cha Kiswahili Grade 6”

Your email address will not be published. Required fields are marked *