Description
Mzee Nuru aliwasimulia wanafunzi hadithi yenye msisimko mkubwa. Hadithi hiyo ilihusu zimwi lililokuwa likiwahangaisha na kuua wanakijiji wa Pumbao. Zimwi hilo halikuwahi kuonekana wala kufahamika vyema, na ilisemekana linaishi katika msitu mkubwa ulio karibu na kijiji. Vijana wa kijiji walijaribu kulisaka zimwi hilo, lakini juhudi zao ziliambulia patupu. Hali hiyo ilizua hofu na mshtuko miongoni mwa wanakijiji, na mkutano ulifanyika kwa shauku na wasiwasi… Zimwi Hilo ni hadithi iliyojaa mafumbo, na msomaji hatapata majibu ya fumbo hilo mpaka atakapomaliza kusoma hadithi hii ya kusisimua.
Reviews
There are no reviews yet.