Description
Mwalimu Paka ana wanafunzi wenye bidii masomoni. Tesi ni mmoja wa wanafunzi hao. Anawatuza wanafunzi wake kwa bidii zao. Katika harakati ya kuwatuza, pesa zake zinapotea.Je,ni Tesi ama ni nani aliyezichukua pesa hizo.Je, pesa hizo zitapatikana?
Reviews
There are no reviews yet.