Storymoja Masaibu Ya Mwende

KSh 480.00

Storymoja Masaibu Ya Mwende

SKU: 21931 Category:

Description

Mwende, msichana wa miaka kumi na mitatu, anajipata matatani anapojiingiza kwenye mahusiano ya kimapenzi na mvulana mmoja shuleni kwao. Jambo hili linasababisha mtafaruku kati ya Mwende na shangazi yake mlezi. Je, mvutano huu kati ya msichana na shangaziye utazaa matunda yanayofaa kwa wote wanaohusika? Jisomee hadithi hii uone yanayojiri.

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Storymoja Masaibu Ya Mwende”

Your email address will not be published. Required fields are marked *