OUP Kiswahili Dadisi Kitabu Cha Mwanafunzi Gredi ya 6

KSh 562.00

Kiswahili Dadisi ni msururu wa vitabu vipya vilivyoandikwa kwa njia ya kipekee ili kutosheleza mahitaji ya mtalaa wa umilisi. Vitabu hivi vitamwezesha mwanafunzi kupata ufahamu wa lugha kupitia stadi za kusikiliza, kuzungumza, kusoma na kuandika, na vilevile sarufi. Aidha, vina mazoezi murua ambayo yatampa mwanafunzi hamu ya kujifunza. Pia vinakuza umilisi uliopendekezwa, maadili na kufahamisha kuhusu masuala ibuka.

SKU: 24216 Category:

Description

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “OUP Kiswahili Dadisi Kitabu Cha Mwanafunzi Gredi ya 6”

Your email address will not be published. Required fields are marked *