OUP Kiswahili Dadisi Kitabu Cha Mwanafunzi Gredi 4

KSh 708.00

OUP Kiswahili Dadisi Kitabu Cha Mwanafunzi Gredi 4

SKU: 19082 Category:

Description

Kiswahili Dadisi ni msururu wa vitabu vipya vilivyoandikwa kwa upekee ili kutosheleza mahitaji ya mtalaa mpya wa umilisi. Vitabu hivi vitamwezesha mwanafunzi kupata ufahamu wa lugha kupitia stadi za kusikiliza, kuzungumza, kusoma na kuandika, na vilevile sarufi. Aidha, vina mazoezi murua ambayo yatampa mwanafunzi hamu ya kujifunza.
Pia vinakuzo umilisi uliopendekezwa, maadili na kufahamisha kuhusu masuala ibuka.

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “OUP Kiswahili Dadisi Kitabu Cha Mwanafunzi Gredi 4”

Your email address will not be published. Required fields are marked *