Nyani Apata Funzo

KSh 420.00

SKU: 28317 Category:

Description

Hii ni hadithi kwa watoto wenye umri wa miaka 6-7 (Gredi 1&2). Ni kitabu kinachofundisha watoto kujiamini kila wakati.

Nyani Mkubwa anataka kutambulika kama shujaa. Anawadhihaki wale anaokisia kwamba hawana nguvu kama zake, hususan Ndovu na Panya. Wanyama wanapokumbwa na hatari, ni nani anayeitwa kuwaokoa? Je, ni nani
anayedhihirisha ushujaa wa kweli?

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Nyani Apata Funzo”

Your email address will not be published. Required fields are marked *