Nikicheka Anacheka 1b By Oxford

KSh 249.00

Nikicheka anacheka 1 b ni kitabu kinachonuiwa kuimarisha msingi wa kusoma na kukuza uwezo Wa kusoma wanafunzi wa Darasa katiko shule za msingi, Miongoni mwa sifa za kipekee za kitabu hiki ni:  Masimulizi rahisi ya hadithi. Kuondosha hali ya uchofu wa kusoma na kuingiza ucheshi katika maandishi kupitia nyimbo, vitendawili, picha za rangi za kupendeza na sentensi fupifupi. kuwapitisha na kuwalea wanafunzi katika mazingira tofauti tofauti.  Mradi wa Kusoma ni mfututizo wa vitabu vya ziada unaoambatana na kozi ya Kiswahili Sanifu.

SKU: 19789 Category:

Description

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Nikicheka Anacheka 1b By Oxford”

Your email address will not be published. Required fields are marked *