Description
Mnyama Mwenye Huruma ni hadithi ya kusisimua iliyojaa mafunzo muhimu. Inamhusu msichana mmoja kwa jina Waheelwa, aliyebaguliwa kwa misingi ya kijinsia na kuachwa kichakani alipozaliwa.
Hatimaye Waheelwa anakuwa kielelezo cha usawa na haki katika jamii yake
Reviews
There are no reviews yet.