Description
Awali, mvulana Madalala hakujali usafi wa mwili. Shuleni,Wanafunzi wenzake walimbagua na kukataa kucheza naye . Siku moja alikuwa mgonjwa. Alipopelekwa hospitalini, daktari aligundua kwamba maradhi yake yalitokana na uchafu. Alimshauri kuhusu umuhimu wa usafi. Soma zaidi kufahamu jinsi kinga ni bora kuliko tiba.
Reviews
There are no reviews yet.