Get It Right Kiswahili Kidato 1 na 2 Marudio

KSh 770.00

Get It Right Kiswahili Kidato 1 na 2 Marudio

SKU: 21428 Category:

Description

GET IT RIGHT KISWAHILI KIDATO CHA 1 NA 2 ni kitabu kilichoandikwa kwa ustadi wa kupigiwa mfano. Maarubu ya kitabu hiki ni kuwajengea wanafunzi wa kidato cha kwanza na cha pili, msingi thabiti wa kukabiliana na mtihani wa kitaifa (K.C.S.£). Aidha, ni kitabu ambacho kitawafaa pakubwa wanafunzi wa kidato cha tatu na cha nne, wanaotaka kujikumbusha stadi zilizofunzwa katika kidato cha kwanza na cha pili. Kimeandikwa kwa mtindo mwepesi na rahisi kusomeka.

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Get It Right Kiswahili Kidato 1 na 2 Marudio”

Your email address will not be published. Required fields are marked *