Fani Ya Fasihi Simulizi Kwa Shule Za Upili

KSh 957.00

Fani Ya Fasihi Simulizi Kwa Shule Za Upili

SKU: 21425 Category:

Description

Fani ya Fasihi Simulizi kwa Shule za Upili kimeandikwa kwa lengo la kumfafanulia mwanafunzi tanzu na vipera vya fasihi simulizi kwa njia angavu na nyepesi. Muhitaji yote ya silabasi ya shule za upili yameshughulikiwu kwa kina. Mada zimejadiliwa kwa lugha rahisi na mifano anuwai ya uchanganuzi kutolewa. Yapo maswali yaliyotolewa mwishoni mwa mada. Maswali haya yanatahini stadi zote za ufumbuzi. Mwishoni mwa kitabu kumetolewa majibu ya baadhi ya maswali ya mazoezi.

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Fani Ya Fasihi Simulizi Kwa Shule Za Upili”

Your email address will not be published. Required fields are marked *