Chanzo cha Kiswahili Kitabu cha Kwanza Toleo la Pili by SmartBrains

KSh 405.00

Chanzo cha Kiswahili Kitabu cha Kwanza

14 in stock

SKU: 18844 Category:

Description

Kitabu cha chanzo cha Kiswahili kimekusudiwa kuunda msingi dhabiti wa lugha ya Kiswahili.

Kimeandikwa kuambatana na mfumo mpya wa C.B.C Kwa kuzingatia silabasi ya mfumo huu.

Pia kimenuia kuinua kiwango cha lugha Kwa kutumia mbinu za kusikiliza, kuongea, kusoma na kuandika.

Yaliyomo:

-Mazoezi ya kutosha.

-Hadithi fupi fupi .

-Picha za kuvutia.

-Msamiati wa kukuza lugha

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Chanzo cha Kiswahili Kitabu cha Kwanza Toleo la Pili by SmartBrains”

Your email address will not be published. Required fields are marked *