Bingwa wa Kitaifa

KSh 480.00

Janet alitazama tarakilishi iliyokuwa mbele yake na kuogopa. Alikuwa amesoma matini ya Maria ya somo la Tarakilishi kutoka madarasa ya awali ili kujitayarisha kwa kipindi hicho, lakini ilionekana kana kwamba kila kitu alichojifunza kilitoweka na kuacha akili yake wazi. Aliitazama juu na chini na kutamka ombi kimoyomoyo…Muda huo huo, mwalimu wao wa somo la Tarakilishi aliingia darasani. Kila mmoja akasimama…

Janet amejiunga na shule mpya iliyoko Nairobi ili kusomea somo la Tarakilishi. Kwa kuwa amelelewa kijijini, Janet hana mwao kuhusu somo hilo. Je, anaishia vipi kuibuka mshindi katika mashindano ya kupiga chapa?

SKU: 26540 Category:

Description

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Bingwa wa Kitaifa”

Your email address will not be published. Required fields are marked *