AH! Shangazi Mela 7e

KSh 285.00

SKU: 27168 Category:

Description

Nanjira anajipata njiani tena,wakati huu kutoka mashambani kuelekea Nairobi. Ingawa kumbukumbu za maisha aliyoishi na wazazi wake zinamjia anapopata mjini Naivasha, ana raha ya kwenda kusomea Nairobi. Nani asingefurahia kusomea jijini?

Lakini kile ambacho Nanjira hajui ni kuwa shangazi yake, Mela, ana mpango tofauti. ‘Ah! Shangazi Mela’ ni mojawapo ya hadithi katika mradi wa kusoma. Huu ni mradi wa vitabu vya ziada ambavyo vianaambatana na kozi ya kiswahili sanifu.

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “AH! Shangazi Mela 7e”

Your email address will not be published. Required fields are marked *