Description
Musa anadanganywa na marafiki yake dakta. Musa anaishi kupoteza karo ya shule kupitia mchezo wa kamari ila anazidi kuendelea Kuucheza. Hatimaye anakamatwa na polisi na kupelekwa kwenye kituo cha polisi. Je, hatima ya musa ni ipi? Soma hadithi hii ya kusisimua ajue yanayompata Musa
Reviews
There are no reviews yet.