Description
Nyau anafurahia kupata mwaliko kuhudhuria arusiya rafiki yake Chichi. Je, ni dansi za mbwazinazowafurahisha wanyama au ni vyakula vitamuvitamu?Je, uamuzi wa paka kuwashtaki mbwa kwamfalme wa mbwa utazaa matunda? Soma hadithi hiziujue umuhimu wa urafiki kama ule wa Tutu na Nyau.Mpira wa Nyau na Hadithi Nyingine ni mkusanyiko wahadithi za kusisimuazinazolenga kukuza maadili yaupendo, heshima na umoja miongoni wa wasomaji.
Reviews
There are no reviews yet.