Kijiji Cha Ukame 4F By Storymoja

KSh 480.00

Kijiji Cha Ukame 4F

SKU: 21225 Category:

Description

Wakazi wa Kijiji cha Ukame wanafyeka misitu na kujigawia mashamba. Muda si muda mvua inakosekana na wanakumbwa na athari za kiangazi. Hawana maji wala chakula. Mimea inanyaukia mashambani huku mifugo wakifa kwa kukosa lishe na maji. Je, watafuata ushauri wa Binti Kitabu kuhusu uhifadhi wa mazingira?

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Kijiji Cha Ukame 4F By Storymoja”

Your email address will not be published. Required fields are marked *