Description
Zuhura na Zahara ni pacha wanaofanana kama shilingi kwa ya pili.
Wamelelewa kwa heshima na taadhima na wazazi wao lakini tabia zao hazilingani hata kidogo.
Mwana wa mfalme aitwaye Chaka ni mgonjwa na hali yake ni mahututi. Ni lazima binti mmoja katika milki ya Tunu
aipate dawa hiyo adimu ili mwana wa mfalme apone. Je, baina ya wasichana hawa ni nani atakayeipata dawa hiyo
iliyo kwenye mlima Dongojekundu ? Hii ni hadithi isiyowekeka chini pindi uanzapo kusoma.
Reviews
There are no reviews yet.