Description
Hadithi za ‘Ladybird’ zimesimuliwa kwa kuzingatia mikusanyiko ya hadithi za ‘Well-Loved Tales’ ambazo zinapendwa na wasomaji wengi sana.
Hadithi hizi za kipekee zimepambwa kwa michoro maridadi ambayo inaongeza ubora na uhondo wa masimulizi ya Ladybird kwa wasomaji wa kizazi kipya. Watoto kutoka kizazi hadi kizazi wanapenda hadithi hizi na wataburudika zaidi wakizisoma pamoja.
Reviews
There are no reviews yet.